Ofisa upelelezi wa jeshi la polisi nchini kenya, jana aliwambia waandishi wa habari kukubuhu kwa biashara za ngono nchini humo na kupelekea kukamata wanawake 11 walikuwa wakifanya biashara hiyo ya ngono na raia mmoja wa Uswisi bwana Christopher Clement Weissenrieder, aliye kamatwa pamaoja na wanawake hao katika kaunti ya Nyali nchi humo.
''Jana, katika kaunti ya Nyali ofisa wa polisi bwana Awiti Bolo na mkuu wa kituo cha kijiji cha Mamba bwaana Brian Lewela, waligundua kuwepo kwa biashara haramu ya ngono iliyokuwa ikiendelea katika kijiji hicho cha Mamba, iliyokuwa ikifanya wa wanawake 11 na raia mmoja wa kigeni kutoka Uswisi.
"Ofisa upelelezi wa wilaya ya Kisauni bwana Shadrack Juma jana alisema, walipata vifaa vilivyokuwa vinatumika kwa ajili ya kushuti filamu za ngono, zikiwemo laptop 15.
Bwana Weissenrieder raia huyo wa Switzerland anamiliki passport ambayo tayari imekwisha muda wake, ikionyesha ilitakiwa awe ameondoka nchini Kenya miezi mitatu iliyopita kama mtalii alisema bwana Juma.
Alisema picha hizo za ngono zingeweza kuonyeshwa kwa wateja wake wa Ulaya, Marekani na Australia kupitia mitandao ya internet. Bwana Juma aliendelea kuelezea kwamba bwana Weissenrieder alikuwa ni ofisa mstaafu wa jeshi la Switzerland na alifanya kazi Makao makuu ya umoja wa mataifa (UN) kabla ya kufanya kazi Nairobi na kufukuzwa miaka 3 iliyopita".
Vyanzo mbalimbali vya kipolice vinaonyesha bwana Weissenrieder amewahi kukubwa na kesi kama hii nchini Malaysia.
![]() |
wanawake 11 waliokamatwa wakitengeneza filamu za ngono Kenya |

Bw. Christopher Clement Weissenrieder raia wa Uswisi aliyekuwa amefadhili mradi wa kutengeneza filamu za ngono nchini Kenya, baada ya kukamatwa na kufikishwa kituo cha polisi kwa ajili ya maelezo zaidi. |
No comments:
Post a Comment