Thursday, May 16, 2013

DIAMOND NDANI YA GWANDA LA KIJESHI LA DR CONGO BAADA YA KUWASILI KWA AJILI YA SHOW YAKE.

P
TZ Brand kuwasili Rasmi kwenye ardhi Ya DRC, Makini kabisa kuporomosha show ya nguvu Nchini Humo.....!!#
Umati wa watu ulifrika kumpokea Toka Airport mpaka Hotelini....!!

Kama kawaida yake alipenda kuwajuza mashabiki zake ulimwenguni mzima ,Hususani mashabiki wa Nchini Congo kuwa yupo kwenye ardhi yao...!!
Alitupia Picha kupitia Mtandao wake wa Instangram akiwa amevalia magwanda ya Jeshi la Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuwajuza vilivyokuwa, mtoto wa Sandrah Sami,Sukari ya warembo,Mtoto wa Kimanyema tayari yupo DRC
Kufanya mauaji na kuachA historia kila sehemu anayopita.....!! huyo ndiye DIAMOND BANAEEEEE.

No comments: