Sports

  Jose Mourinho atua rasmi Chelsea 

Jose Mourinho is the new Chelsea manager
The Sun has exclusively reported that Jose Mourinho is the new Chelsea manager and the official club statement will be published very soon. According to THE SUN, Jose Mourinho has signed a four-year contract at Chelsea worth £40 million.
This will be an emotional return of the ‘Special One’ to his special club and Chelsea supporters from all over the world must be highly thrilled after reading this news.ESPN has also reported the same story quoting  The Sun.
Jose Mourinho's emotional return
Jose Mourinho’s emotional return
Jose Mourinho is expected to join the squad at Stamford Bridge after his last game with Spanish side Real Madrid, this weekend.
The arrival of Jose Mourinho was always on the card and the rumor got current after Real Madrid announced that the Portuguese wizard will be terminated from his contract on a mutual agreement. Jose Mourinho was spotted in London last weekend and he was on the VIP stand watching the Wembley play-off.
Many of the internal Chelsea sources have also confirmed the arrival of Jose, stating that, “it’s official,Jose is a Chelsea man again’.'Everyone is delighted he is coming back-the club,player and fans’.
Most of the Chelsea players have already declared their dream to work under Jose Mourinho, including Fernando Torres, David Luiz, Lukaku,Courtois and Eden Hazard.
Rob Beasley on twitter wrote,” I am pleased to officially announce that Jose Mourinho signed a contract with Chelsea FC on Tuesday to be their new manager”.
Being a Chelsea supported I am also highly exited with this news and wish all the very best to Jose and Chelsea.

 HUU NDIO UCHAMBUZI NA UTABIRI WANGU WA FAINALI YA BORRUSIA DORTMUND VS BAYERN MUNICH

 

FC Bayern wanakutana na mtihani mgumu usiku wa leo watakapocheza dhidi ya Borussia Dortmund kwenye dimba la Wembley jijini London. Leo ni siku ya kuondokana na mkosi mkubwa unaowatawala mabavarians ambao ndio timu inayoongoza kwa kufungwa kwenye UEFA Champiosn League - leo ni siku ya kufuta machungu kwa kupoteza mechi ya fainali ya mwaka jana ambayo walistahili kushinda ingawa bahati haikuwa upande wao.

Hii ni fainali ya kwanza ya wajerumani ambao wanastahili kuwemo kwenye fainali hiyo. Utakuwa mchezo mzuri wa kukumbukwa.


Dortmund, klabu inayoibuka kuwa na nguvu barani ulaya Majeruhi: Mario Götze


Baada ya kusemwa kuwa kutolewa kwenye hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa wa ulaya msimu wa 2011-12, Dortmund hatimaye wameyachukulia umakini mashindano haya kwa gaharama ya kupoteza ubingwa wa nyumbani.

Ingawa, mchezo wao kwenye Champions League umekuwa wa aina yake. Nguvu, ushirikiano, mbinu za mchezo wao zimekuwa nzuri kiasi cha kuvishinda vilabu kama Real Madrid.



Mario Götze, kiungo mchezashaji wao, ataukosa mchezo huo kutokana na majeruhi ya misuli. Alijaribu kurudisha fitness yake kupitia mazoezi, lakini bahati haikuwa yake na akaawambia mchezo wake wa mwisho wa msimu huu ulikuwa pale Santiago Bernabeu. Ujuzi ambao BVB wataukosa ni pasi muhimu, kukimbiza mpira na mashuti yenye madhara
Wachezaji wa kuchungwa.



Robert Lewandowski amegeuka kuwa mshambuliaji wa kiwango cha dunia, ameonyesha utulivu mbele ya lango la adui ambao washambuliaji wanakosa. Ana control nzuri ya mpira, anapiga mashuti yenye kulenga goli.

Muhimu zaidi, ni hazina ya Dortmund kwenye kulinda lango - golikipa Roman Weidenfeller. Uwezo wake wa kudaka uliinyima Bayern ushindi kwenye michezo kadhaa iliyopita msimu huu.

 Beki wa kati Mats Hummels anaweza akacheza mechi ya fainali pamoja na kuwa na majeruhi. Kitu cha kuvutia kuhusu yeye ni kwamba pamoja na mlinzi kwa ujumla, lakini pia anaweza akaigharimu timu yake kwa makosa ya kizembe.



Wakati uzuri wa Dortmund inacheza vizuri hata bila kuwa na mpira, mchezo mzuri wa kupasiana unaweza ukawadhuru kwenye nusu yao ya uwanja. Pia wana udhaifu mkubwa kwenye mipira mirefu.


Bayern, wanapaa kwenye muda muafaka

Majeruhi: Badstuber, Kroos.


 Huu ni mchezo unaomaanisha kila kitu kwa Bayern, ambayo ipo kwenye kiwango cha juu kwenye muda sahihi.

The bavarians wapo kwenye moto safari hii kwenye ulinzi na ushambuliaji. Udhaifu wao uliowagharimu msimu uliopita ni nguvu ya akili, udhaifu ambao umeshashughulikiwa. Sasa hivi wana ile hali ya winning mentallity - angalia namna walivyotoka nyuma na kuwafunga Borrusia Monchengladbach 4-3.

Franck Ribéry yupo kwenye kiwango cha dunia akicheza winga ya kushoto, unaweza ukasema hivyo pia kwa Thomas Muller ambaye anashughulika na majukumu ya kushambulia aliyokuwa nayo Toni Kroos.

Bastian Schweinsteiger na kila kitu cha kutoa kwenye mchezo huu. Ni package iliyokamilika kama mchezaji, box to box midle, yupo kwenye kiwango cha juu sana.

Uzuri wa Bayern hivi sasa mpaka wachezaji ambao walikuwa wavivu kama Arjen Robben wanakaba, timu yote inakaba kwa pamoja na wanashambulia kwa pamoja.


Ikiwa Bayern watacheza kwenye kiwango cha juu usiku wa leo basi itawachukua BVB kutumia vipaji binafsi zaidi vya wachezaji kuweza kushinda.

Vita binafsi leo hii itakuwa kati ya winga wa kushoto wa Bayern Frank Ribery vs Lukasz Piszczek. Kwa spidi aliyonayo Mpoland huyo, na uwezo wake wa kuzuia itamchukua uwezo mwingi sana Frank Ribery kuweza kupita.



Mara ya mwisho Bayern wameifunga Dortmund, walimtumia zaidi Toni Kroos na uwezo wake wa kumiliki mpira - Muller hana uwezo mkubwa wa kukaa na mpira kama ilivyo kwa Kroos hivyo mambo yanaweza magumu kiasi.


Utabiri wangu nawapa Bayern nafasi ya kushinda. Mafunzo waliyoyapata miaka iliyopita hasa msimu uliopita dhidi ya Chelsea yatawapa hali ya kupigana zaidi. Hata kama wataanza kufungwa, watashindana na kuhakikisha safari hii wanaepukana na mkosi wa fainali ya Champions League. Dortmund wana mtindo wa kupaniki - angalia katika mechi ya pili dhidi ya Madrid nusura waondolewe pamoja kuwa walikuwa na hazina ya mabao 4-0.

Vikosi vinavyoweza kuanza


FC Bayern (4-2-3-1) Neuer – Lahm, Boateng, Dante, Alaba – Martinez, Schweinsteiger – Robben, Müller, Ribéry – Mandzukic

Borussia Dortmund (4-2-3-1) Weidenfeller – Piszczek, Subotic, Hummels, Schmelzer – Gündogan, Kehl – Blaszczykowski, Reus, Grosskreutz – Lewandowski

Location: Wembley Stadium, London Referee: Nicola Rizzoli (Italy) 
source: Shafih dauda-london

NIYONZIMA ASAINI YANGA MIAKA 2, SHOMARY KAPOMBE HAKUNA WA KUNING'OA SIMBA.

Uwezekano wa wawili hawa kucheza pamoja unazidi kufifia baada ya kuwepo tetesi za Niyonzima kusaini mkataba wa kuendelea kulisakata gozi akiwa jangwani na wakati mahasimu wao wekundu wa msimbazi wakiwa wanamtamania Niyonzima raia huyu wa Rwanda na mchezaji mwenye uwezo wa juu katika ukanda huu wa afrika mashariki. Awali tetesi za star huyu wa wanajangwani kusaini msimbazi zilizagaa baaada ya Niyonzima kukataa kusaini ilikuendelea kukipiga jangwani na kusema mpaka mechi yao na wanamsimbazi simba itakapo malizika hapo 18 may 2013. Niyonzima alikuwa hana furaha kuendelea kulisakata gozi jangwani kwa kile kinachoelezeka kwamba timu hiyo ya wana jangwani yanga haina malengo na wachezaji wake kucheza katika ligi nyingine na kuonekana,ukiingia yanga umeingia mlango wa kutokea kwenda kulisakata ulaya unakuwa umefungwa tofauti na watani wao wa jadi simba ambako wao wameonekana kufanya soka kuwa biashara na siyo ushindani.

No comments: