Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya baraza lake la mawaziri lenye wajumbe 18, mwezi mmoja tangu mchakato wa uteuzi kuanza.
"Hatimaye nimeshapeleka majina bungeni kwa ajili ya kuthibitishwa,"
Kenyatta alisema, kwa mujibu wa gazeti la Daily Nation la Kenya.
Kamati ya bunge ya uteuzi itawachunguza wawili hao na kupeleka ripoti kwa Bunge la Taifa.
Uteuzi wa Lenku na Kambi unakuja wiki moja baada ya bunge kupitisha wajumbe wa baraza la mawaziri waliobakia na kuwaapisha kwa ajili ya nafasi zao.

No comments:
Post a Comment