Thursday, June 6, 2013

DADA HUYU WA KITANZANIA ANATARAJIWA KUNYONGWA MAPEMA KESHO NCHINI MISRI.


Hizi ndo picha  za huyo msichana anayetajwa kuwa ni Fatma a.k.a Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya nchini Misri.
Fatma akiwa katika pozi



Fatma akiwa na mwanaye kipenzi

Fatma akiwa katika pozi zito la mahaba

Fatma akiwa amekumbatiana na mchumba wake baba wa mwanaye.

No comments: