Sunday, May 12, 2013



Mama, alibeba mimba yako ukakaa tumboni miezi 9 na wengine wapo waliopitiliza miezi 9 na wapo ambao hawakufikisha miezi 9. Lakini nyote mlikaa tumboni kwa mama baada ya kuzaliwa mama alikunyonyesha kwa muda usiopungua mwaka mmoja na miezi 8, japo mpo wapo wengine ambao hawakufikisha hata hiyo miezi au hata kuonja kabisa maziwa ya mama lakini wote wamezaliwa na mama. Huwa mama hatendewi haki pale anaposhindwa kuthaminiwa na kupewa kipaumbele kama mtu muhimu sana. kama kuna mtu ambaye hakuzaliwa na mama ndiye inatakiwa asimuheshimu mama lakini kama wote tumezaliwa na mama, acha tusherehekee siku ya akina mama duniani.

No comments: