Kiungo mshambuliaji Frankie Lampard jana alivunja record ya kufunga magoli katika club ya chelsea baada ya kufikisha goli 202, baada ya kufunga goli mbili katika mchezo wa jana jumamosi uliochezwa majira ya saa tisa alasiri kati ya aston villa na chelsea.
No comments:
Post a Comment