Sunday, May 19, 2013

IRINGA KAMA MTWARA.....KWAWAKA MOTO MACHINGA WAFUNGA BARABARA.

Machinga walio katazwa kufanya biashara zao katika maeneo ambayo hayaruhusiwi na serikali, wameleta kashi kashi katika mji wa Iringa baada ya fukuzwa fukuzwa iliyokuwa ikiendelea mjini humo.
Picha: ikionyesha hali ilivyo mbaya katika mji wa Iringa.

 

No comments: