Sunday, May 19, 2013

HIVI NDIVYO DAVID BECKHAM ALIVYOAGWA KWENYE MECHI YAKE YA MWISHO NCHINI UFARANSA BAADA YA KUTANGAZA KUSTAAFU

David Beckham na familia yake katika mechi yake ya mwisho kuichezea PSG baada ya kutangaza kustaafu soka.



David Beckham akiagana na kocha wake Carlo Ancelloti 

Machozi yakimtiririka David Beckham wakati uwanja mzima uliposimama kumuaga


No comments: