Fanny Neguesha! ni wiki moja tu imepita tangu the Super Mario Balotelli atangaze rasmi kwamba kama Real madrid wangemtoa Borusia Dotmund kwenye michuono ya UEFA Champions League, angemtoa mpenzi wake huyo Fanny Naguesha kama zawadi kwa wachezaji wote wa Real Madrid akiwemo na kocha wao Jozee Mourinho maarufu kama the "special one" na kwa kauli ya mchezaji huyo mwenye vituko vingi duniani na mchezaji yosso mwenye kiwango cha juu, inasemekana iliweza kumduwaza hata mpenzi wake huyo Fanny, ambaye yeye binafsi alikuwa hapendi urafiki wa mpenzi wake Mario Balotelli na mchezaji wa kickboxing Giorgio Petrosyan. na Mwaka jana Balotelli aliachana na mpenzi wake aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha Television na inasemekana wakati anaachana na mwandada huyo alikuwa na mimba ya Super Mario Balotelli na sasa mwanadada huyo Raffaella Fico amejifungua mtoto ambaye anaitwa Pia.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg1y-kNh2IT3rSkSk8dHOXZBh5yhwxw6pnVCWpOxugZ1t7QHbvRD6IA7I1WUkZbpcsir83FUdTKwIISlFhiV8lFgi0KKtQYXfZWfZbf_p_3Il1hUHxEMZoAn8vy7YMfl0eewfWt8RUWYKsS/s1600/article-0-19528CD2000005DC-983_634x635.jpg)
Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye tamasha la CHEKA NAO coco beach Dar es salaam
dogo (tmk)
Juma Nature (Kibla)
dancers
Kauli chafu kutoka Bungeni - Dodoma mwaka 2013
"Kwa
kuwa wanaume wengi wanabaka, kifunguliwe kituo wafundishwe
kutongoza.” Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Leticia Nyerere.
‘‘Kuna wabunge ambao wana mimba sizizotarajiwa Bungeni...” Mbunge wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde.
“Sikufurahishwa na kauli ya Lusinde kwamba tuna mimba sizizotarajiwa.” Anna Abdallah (Viti Maalum, (CCM).
“UDOM (Chuo Kikuu cha Dodoma) kuna udini wa hali ya juu, wanafunzi wa dini tofauti hawalali chumba kimoja.”
Mbunge wa Rombo (CHADEMA), Joseph Selasini.
“Serikali ina tatizo kwa kuwa kuna akili ndogo inatawala vichwa vikubwa.” Mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa.
‘‘Siongei na mbwa bali naongea na mwenye mbwa.” Mbunge wa Kondoa Kusini (CCM), Juma Nkamia
‘‘Mambo mengi nchi hii hayaendi kutokana na serikali pumbavu, hatuwezi kuwa na waziri wa elimu boya...”
Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA, Joseph Mbilinyi.
“Serikali iruhusu raia wa Tanzania walime bangi wapate fedha za kigeni.” Mbunge wa Nkasi (CCM), Ally Keissy.

Wakizungumza katika Mkutano wa hadhara kijijini hapo baada ya Mwenyekiti wa kijiji hicho Ndugu Ramadhani Nyoni kutoa taarifa Kwa Mkuu wa Wilaya hiyo Gulam Hussein Kiffu juu ya kukamilika kwa ujenzi wa shule hiyo iliyojengwa na Mwekezaji Kilomita 8 kutoka katika makazi ya watu.
Kutokana na kukamilika kwa majengo hayo Mkuu wa Wilaya kupitia Mkutano alioufanya Aprili 25 na Serikali ya Kijiji aliwasihi wananchi kuipokea Shule hiyo ikiwa ni pamoja na kuwahamisha wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Msingi Kapunga na kuhamia Katika shule mpya ifikapo Mei 3 Mwaka huu.
Lengo la kujengewa shule nyingine ni kutokana na Mwekezaji kutaka Wananchi wampishe katika eneo lake hivyo akalazimika kujenga Shule nyingine ambayo baada ya kukamilika. Wananchi wameikataa kutokana na kutokuwa na mahusiano mazuri kati ya Mwekezaji na Wananchi wanaoyazunguka mashamba.
Aidha wakizungumzia sababu za kukataa kupokea Majengo hayo Viongozi wa Serikali ya Kijiji wamesema tangu ujenzi uanze hawajawahi kupewa taarifa ya aina yoyote, pia umbali mrefu kutoka maeneo wanayoishi na Shule mpya ilipojengwa ambao ni Kilomita Nane.
Sababu nyingine wamedai kutokuwa na imani na Mwekezaji huyo kutokana na kuwa na tabia ya kuwanyanyasa Walimu ambao awali amewahi kuwafukuza katika majengo ya Shule hali iliyopelekea Walimu hao kutembea umbali mrefu kwenda Shuleni kufundisha.
Akitoa taarifa kwa wananchi katika Mkutano wa hadhara uliofanyika Aprili 29, Mwaka huu Ofisa Mtendaji wa Kijiji Ndugu Peter Kita amesema Mwekezaji alitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya kuhusu kukamilika kwa ujenzi na kuomba kuwakabidhi ili waanze kuyatumia lakini Wananchi hawakukubaliana naye.
Wananchi hao wamefafanua kuwa wao hawako tayari kupokea majengo ya shule hiyo kutokana
na Mwekezaji kutokuwa na msaada
wowote katika kijiji ikiwemo Shughuli za Kijamii kama Maji , Afya, Barabara na
Umeme.
Wamesema kwa sasa wako tayari kujenga Shule yao kwa nguvu zao ambapo walisema tayari wameshapata kibali na michoro kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Wilaya ya Mbarali.
Wameongeza kuwa sababu zingine za kukataa mradi huo ni kuhofia usalama wa wanafunzi kutokana na kuwepo kwa mfereji mkubwa wa maji karibu na Shule ilipojengwa pamoja na ubora wa majengo kuwa hayataweza kuhimili vishindo vya wanafunzi zaidi ya 700.
Mbali na Ajenda ya Shule wanakijiji hao pia walikuwa wakisomewa taarifa ya mapato na matumizi ya kijiji ambapo pia waliidhinisha bajeti ya kipindi cha Mwaka 2013/2014 zaidi ya Shilingi Milioni 130 zitakazokusanywa kutokana na vyanzo mbali mbali.
Mikakati ya ujenzi wa Shule yao mpya ulianza hapo hapo ambapo zaidi ya Shilingi 90,000/= zilikusanywa na kuazimia kila kaya kuchangia Shilingi 20,000/= hadi ifikapo Mei 15, Mwaka huu ambapo wanatarajiwa kukusanya zaidi ya Shilingi milioni kumi.
Aidha, wametoa wito kwa mwekezaji kutowasumbua wanafunzi wanaosoma darasa la nne na darasa la saba kutokana na kuwa na mitihani ya kitaifa ambapo walisema Shule yao mpya inatarajiwa kukamilika katika muda mfupi baada ya kukamilisha maandalizi yote.
Haya hivyo ikumbukwe kuwa Mwekezaji huyo wa Kapunga Rice Project bado ana kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya akituhumiwa kuteketeza mazao ya wananchi kwa sumu na kuwasababishia hasara na madhara kiafya wananchi hao.

Salamu za Rais Kikwete kwa siku ya uhuru wa vyombo vya habari Duniani
Mfanyabiashara aanguka ghorofani kariakoo na kufariki papo hapo.
TAARIFA za awali zina arifu kuwa
Mfanya Biashara, Costa Shirima anaedaiwa kujirusha kutoka gorofa ya tisa ya
Hoteli ya Concord iliyopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam inaelezwa kuwa alikuwa
asafiri na ndege ya saa 10 jioni kuelekea China kufuata bidhaa za maduka yake.
Shirima (47), ambaye amefikwa na umauti muda mfupi baada ya kudondoka chini ni mfanyabiashara aliyekuwa akimiliki maduka kadhaa ya urembo wa akina mama yaliyopo jirani na Hoteli hiyo ya Concord.
Aidha taarifa hizo za awali kutoka kwa mmoja wa wanafamilia ambaye alidai kuwa si msemaji wa familia ya Shirima ya Mwika Moshi mkoani Kilimanjaro, nikuwa na Marehemu mara kwamara alikuwa akipendelea kula katika hoteli hiyo na siku ya tukio inadaiwa kuwa aliwaeleza watu kuwa anapanda juu ya Hoteli hiyo kupunga upepo baada ya kuhisi hewa nzito mahali alipokuwa.
Inadaiwa kuwa baada ya kupanda huko juu ghafla alianguka chini na kudondokea gari dogo aina ya Toyota Corola linalofanya biashara ya Taxi na kupoteza maisha yake na gari hilo kuharibika vibaya kutokana na kishindo hicho.
Marehemu Shirima mbali na kuwa Mfanya Biashara wa muda mrefu Kariakoo pia alikuwa akiendelea na Ujenzi wa Jengo la Gorofa maeneo ya Kariakoo.
Marehemu ameacha mjane na watoto 5.
Uchunguzi wa Kipolisi bado unaendelea kuhusiana na tukio hilo na taarifa kamili zitatolewa pindi zitakapo kamilika.

No comments:
Post a Comment