Mantra Tanzania Limited hivi karibuni itaanza uchimbaji wa uranium katika mto mkujubaada ya kupata cheti cha tathmini ya athari kwa mazingira.
Mantra itachimba uranium wakati wa kiangazi ili malori yaweze kusafiri katika barabara kavu, mkurugenzi Mtendaji wa Mantra Asa Mwaipopo alisema.
Mradi wa Mto Mkuju unatarajiwa kuzalisha dola bilioni 1 (shilingi trilioni 1.6) za uwekezaji wa moja kwa moja wa nje kwa Tanzania wakati wote wa uchimbaji, na kuzalisha kiasi cha dola milioni 640 (shilingi bilioni 1) katika mapato ya fedha taslimu ya moja kwa moja na yasiyo ya moja kwa moja.
Balozi wa Umoja wa Ulaya Filiberto Ceriani Sebregondi amesema EU itashirikiana na Serikali ya Tanzania kuhakikisha uchimbaji wa uranium unaendeshwa vizuri.

No comments:
Post a Comment