Wednesday, June 12, 2013

KAMANDA KOVA AMFUKUZA KAZI POLICE MCHEZA PICHA ZA NGONO, NI WP AMISA WA KITUO CHA MAGOMENI

Kamanda wa kanda Maalumu ya Dar es Salaam Suleiman Kova amemfukuza kazi askari wake wa kike, WP Amisa, aliyekuwa akifanya kazi kituo cha Polisi Magomeni kutokana na utovu wa nidhamu.

Kamanda wa Kanda hiyo, suleiman Kova alisema jana hatua hiyo imefikiwa baada ya askari huyo kukiuka maadili ya jeshi kwa kitendo chake cha kupiga picha za uchi zilizoonekana katika mitandao.
“Jeshi halitasita kumchukulia hatua askari mwingine atakaye onekana kuwa na vitendo hivyo.


source Habari leo

No comments: