Saturday, June 15, 2013

BOMU LA KURUSHA KWA MKONO LA UA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA ARUSHA

baada ya mlipuko kutoke polisi walipiga mabomu ya machozi,Je lengo lao lilikuwa ni nini haswa???
kwanini target iwe ni CHADEMA,na kwanini imetekelezwa siku ya hitimisho ya kampeni
Siasa hizi zinalenga ninh haswa??watu wasijitokeze kesho kupiga kura ama kuna mchezo zaidi ya huu umepangwa kufanyika
Vita ya Ukombozi ni vita visivyokwisha mpaka watu watakapo kombolewa,mabomu risasi na kutumia njea yoyote ile nje ya Demokrasia haiwezi kuzuia mabadiliko
watu waliojeruhiwa ni wengi na Mpaka sasa waliokufa wanafikia watatu.
 

 source chadema in blood

No comments: